Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
Kwani Hao NHC wanauza nyumba kiasi gani?Iko vizuri kuliko hata zile tunazoambiwa za bei nafuu za NHC
Kwani Hao NHC wanauza nyumba kiasi gani?
Sio nyumba nzuri kuliko hizi nyumba za mbao.Inategemea na maeneo zilipo na specifications zake, mfano zile za Kigamboni zeye vyumba viwili walikuwa wanauza kama million 40 na zenye vyumba vitatu walikuwa wanauza 45 millions.
Nyumba ya mbao inauzwa hiyoo...............