Ebana kuna ndugu yangu anatafuta nyumba ya kupanga mwanza,maeneo ya nyegezi,mkuyuni ama mjini kati. Ama vyumba 3 na sebure, ulinzi na usafiri uwe unafika. Tumia 0764600657. Ama ni PM,kwa maelezo zaidi.