Mzee Shuu
New Member
- Apr 11, 2016
- 2
- 0
Nyumba kubwa na ndogo ndani ya fence moja. Parking ya gari ni kubwa yenye uwezo wa accommodate magari hadi madogo manne.
Nyumba kubwa ina vyumba vinne kimoja kikiwa ni master bedroom, sitting hall, dinning hall and kitchen. Bei ni laki sita kwa mwezi. Kodi ni miezi sita au mwaka.
Nyumba ndogo ya backyard ina masterbed room, living room & Kitchen. Bei ni laki tatu na nusu na ni ya miezi sita au mwaka.
Pia backyard kuna chumba kimoja chenye choo cha nje ambacho kodi yake ni laki moja na nusu na kodi ni ya miezi sita au mwaka.
Kwa yeyote ambaye yuko interested, please niPM kwa mazungumzo zaidi.