babe S JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 3,879 Reaction score 20,859 Jan 30, 2012 #1 Nyumba nzuri ya vyumba vitatu vya kulala, sebule, jiko, corridor area, na fence inapatikana Sakina Arusha kwa bei safi. Karibuni
Nyumba nzuri ya vyumba vitatu vya kulala, sebule, jiko, corridor area, na fence inapatikana Sakina Arusha kwa bei safi. Karibuni
Ghost JF-Expert Member Joined Apr 20, 2010 Posts 428 Reaction score 53 Jan 30, 2012 #2 weka bei na picha.....mbona biashara zenu za kiswahili sana jamani??
babe S JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 3,879 Reaction score 20,859 Jan 30, 2012 Thread starter #3 Ghost said: weka bei na picha.....mbona biashara zenu za kiswahili sana jamani?? Click to expand... Ok nitajitahidi kuweka picha, bei turaelewana na atakayekuwa interested
Ghost said: weka bei na picha.....mbona biashara zenu za kiswahili sana jamani?? Click to expand... Ok nitajitahidi kuweka picha, bei turaelewana na atakayekuwa interested
yegella JF-Expert Member Joined Nov 18, 2010 Posts 3,113 Reaction score 1,104 Jan 30, 2012 #4 babe S said: Ok nitajitahidi kuweka picha, bei turaelewana na atakayekuwa interested Click to expand... Mimi natafuta makao mapya mbapo nitapafanya ofisi vipi nitapata...
babe S said: Ok nitajitahidi kuweka picha, bei turaelewana na atakayekuwa interested Click to expand... Mimi natafuta makao mapya mbapo nitapafanya ofisi vipi nitapata...
babe S JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 3,879 Reaction score 20,859 Jan 31, 2012 Thread starter #5 yegella said: Mimi natafuta makao mapya mbapo nitapafanya ofisi vipi nitapata... Click to expand... Samahni makao mapya unamaanisha makao mapya ya kuishi, au makao mapya mtaa, samahani
yegella said: Mimi natafuta makao mapya mbapo nitapafanya ofisi vipi nitapata... Click to expand... Samahni makao mapya unamaanisha makao mapya ya kuishi, au makao mapya mtaa, samahani
Don Mangi JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 2,199 Reaction score 855 Jan 31, 2012 #6 Pia anayetaka mwingine mi nnayo iko nane nane anipm nimpe na bei yake...