Nyumba ya kupanga

Nyumba ya kupanga

kilundilo

Member
Joined
Aug 14, 2014
Posts
54
Reaction score
6
Natafuta nyumba ya kupanga iwe na
Viyumba viwili yani chumba sebule,, choo cha kujitegemea,, na iwe ndani ya uzio,,, maeneo ya (Temboni, Suka, kimara, kologwe, bucha,) Dar es salaam,,
 
Ipo nyumba nzima inapangishwa. Mbezi mwisho. Bei laki 250 kwa mwezi. Wasiliana 0718143636/ 0757143636
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom