mwaisabila
Member
- Dec 24, 2013
- 66
- 43
Habari za asubui wana janvi naomba msaada natafuta nyumba ya kupanga iwe na vyumba viwili vya kulala,sebure jiko ikiwa na dining itakuwa poa zaidi but si lazima sana, bei asizidi 200,000 kwa mwezi kwa malipo ya miezi sita, maeneo ya kinondoni, ilala, na ubungo.