Nyumba ya kupanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba ya kupanga

Discussion in 'Matangazo madogo' started by CHIJANYE, Sep 3, 2012.

 1. C

  CHIJANYE JF-Expert Member

  #1
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 344
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Natafuta nyumba ya kupanga iwe na vyumba 2 sitting jiko na choo na luku yake pawe panafikika ikipendeza na maji yakawepo itakuwa pouwa namba yangu ni 0786 670 121 inahitajika kufikia tarehe 15 mwezi wa kumi mwananyamala, kinondoni au makumbusho nina laki na nusu kwa mwezi nataka ya mwaka sihitaji ya kubabaisha be careful
   
 2. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nakushauri uende kwenye vijiwe vyao vya madalali watakupa taarifa muhimu. Lakini nakushauri uwe makini nao. Wana JF msaidieni kijana wetu amechoka kuishi kwa shemejie na kusafiria nyota ya dada yake.
   
 3. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #3
  Sep 3, 2012
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo fedha huwezi pata nyumba unayoitaji
   
Loading...