nyumba ya kupanga

nyumba ya kupanga

dalu

Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
24
Reaction score
4
wakuu natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya kigamboni iwe karibu na barabara iendayo mji mwema.sifa za nyumba iwe chumba kimoja cha kulala,sitting room,jiko,choo na iwe ndani ya fence.naomba kuwasilisha.
 
Toa offer yako ili tujue standard ya nyumba unayohitaji mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom