nyumba ya kupanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nyumba ya kupanga

Discussion in 'Matangazo madogo' started by dalu, Apr 21, 2012.

 1. d

  dalu Member

  #1
  Apr 21, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wakuu natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya kigamboni iwe karibu na barabara iendayo mji mwema.sifa za nyumba iwe chumba kimoja cha kulala,sitting room,jiko,choo na iwe ndani ya fence.naomba kuwasilisha.
   
 2. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Toa offer yako ili tujue standard ya nyumba unayohitaji mkuu.
   
 3. d

  dalu Member

  #3
  Apr 21, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  laki moja hadi laki moja na themanini mkuu
   
Loading...