Nyumba ya kupanga

mwalidebe

JF-Expert Member
Mar 27, 2016
425
248
Naweza pata nyumba ya kupanga maeneo ya chang'ombe keko ilala buguruni kigambon mwenge sinza kijitonyama au eneo ambalo naweza fika posta kwa urahisi
 
Chumba na sebule choo chake na jiko lake maeneo ya mwenge dakika 5 tokea mliman city. Bei 180,000/ kwa mwezi x 12. Hakuna dalali. Ni sehemu nzur kwa anayeanza maisha. 0713401812
 
Naweza pata nyumba ya kupanga maeneo ya chang'ombe keko ilala buguruni kigambon mwenge sinza kijitonyama au eneo ambalo naweza fika posta kwa urahisi
Mkuu kwa sinza, mwenge, knyama na mbezi nichek kwa 0713415537
 
Back
Top Bottom