Kama kweli uko interested kuna nyumba iko poa sana ya kisasa maeneo ya kwa jionee ligula b cheki na hii namba 0716 353 455 au 0784 461 705 . Mpaka jana ilikua haijpata mteja
Ipo 250pm
Ahsante mkuu,ipo eneo gani?
Ipo 250pm
Ahsanteni nyote nashukuru nimepata nyumba.
Nilipata mkuu NGOGO CHINAVACH , nipo Shangani. Ahsante.
Dada Vicky bado yupo pale pale ila mimi si mteja wa ile kituDaaa nimekaa sana kota za kiangu Msalimie dada Vick hapo tech karibu na BNN hotel muulize vp biashara ya kitimoto bado anaifanya nataka nimuunganishe na wateja wapya

Hapana mkuu, nipo kwenye nyumba ya mtu binafsi. Kodi zimeanza kushuka kampuni za gesi zimepunguza watuMkuu ni shangani apartment za jamaa mmoja wa moshi au ni wapi na bei zinaendaje mana jamaa anatoza kwa dola
Sasa angalia usije pangishwa Nyumba kwa limo ukazama na Maji maana hyo mitaa ya kiangu ni noma kwa mafuriko hasa kwenye kota hzo ni hatari balaaaaDada Vicky bado yupo pale pale ila mimi si mteja wa ile kitu![]()
Sasa angalia usije pangishwa Nyumba kwa limo ukazama na Maji maana hyo mitaa ya kiangu ni noma kwa mafuriko hasa kwenye kota hzo ni hatari balaaaa
kwa Lyimo ni hatari mkuu, na hizi mvua ni shida.Wasalimie wajomba zangu huko wambie mwaka huu korosho zao hawataibiwa sana kama miaka ya nyuma![]()
![]()
kwa Lyimo ni hatari mkuu, na hizi mvua ni shida.

Vipi kuhusu Korosho zao? Hawakuibiwa tena? I mean ziliwatajirisha kuliko miaka ya nyuma?Wasalimie wajomba zangu huko wambie mwaka huu korosho zao hawataibiwa sana kama miaka ya nyuma![]()
![]()
![]()