Nyumba ya kupanga Mbeya mjini

Nyumba ya kupanga Mbeya mjini

KAMSI

Member
Joined
Apr 6, 2011
Posts
24
Reaction score
1
Wanajamii habari zenu,

Namtafutia mdogo wangu nyumba ya kupanga Mkoani Mbeya iwe maeneo ya Sae, forest Iramba au Mjini yenye iwe self contained yenye chumba cha kulala, sebule, jiko na choo iwe kwenye hali nzuri ya usafi na iwe ndani ya fence
.

Naomba msaada
 
i hope utapata. ungeweka na bei ya uwezo wako ni ngapi.

kuna kaka yangu pia amehamia huko, mimi nilishawahi kukaa huko zamani akaniomba kama kuna mtu nafahamiana naye amtafutie nyumba nzima vyumba 3, sebule, jiko, store na iwe kwenye fence. kama kuna mtu anajua, naomba aniambie, kuingia kwenye hiyo nyumba atakuja mwezi wa nane tarehe moja hivi. maeneo yawe uyole, nanenane jeshini au mjini (national housing kama zipo). bei yeyote isiyozidi laki mbili na nusu kwa mwezi kulingana na nyumba, iwe ya kisasa na maji umeme viwepo. thanks.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom