nyumba ya kupanga inahitajika

nyumba ya kupanga inahitajika

Elijah

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2012
Posts
1,663
Reaction score
424
inahitajika nyumba ya kupanga dar,maeneo ya kinyerezi,ukonga,kurasini au segerea,iwe na maji,ndani ya fensi,hata kama haina maji,basi iwe na tank la kuhifadhia maji,vyumba vitatu.Aksanteni sana
 
Kuna nyumba tabata chang'ombe ipo mita chache kutoka barabarani ila haina maji wala fensi wala tank la maji ila sehemu ya parking ya magar ipo.
 
thank u mkuu,ingekuwa na fensi angalau lingewekwa tank hata chini,si unajua maji ilivyo issue
Kuna nyumba tabata chang'ombe ipo mita chache kutoka barabarani ila haina maji wala fensi wala tank la maji ila sehemu ya parking ya magar ipo.
 
Iko Mbezi Mwisho stand mpya ya magufuli, tank lipo parking na ni mpya
 
Ipo jet lumo, nyuma ya airport.. Ina maji, na ipo ndani ya fence ya kupaki 4 cars... Bei laki 3 kwa mwezi.. Kodi miezi 6
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom