Wakuu,
nahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya Changanyikeni, Savei ama Makumbusho.
Vyumba kuanzia viwili na kuendelea + Sebule + Jiko + Iwe ni self contained..
Iwe na Fence pamoja na Parking ndani ya Geti.
Bajeti yangu ni 200,000. Niko tayari kwa mapatano pia.