Nyumba ya kupanga inahitajika

Nyumba ya kupanga inahitajika

KATIKEMBWA

Member
Joined
Apr 24, 2015
Posts
20
Reaction score
14
Habari wana jamvi. Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya mbezi mwisho au kimara stop over. Iwe na vyumba viwili kimojawapo ni master, sebule na jiko, choo cha ndani cha wageni, maji 24/7, Luku yakwangu, iwe ndani ya fensi. Bajeti yangu 200,000 - 250,000. Malipo ya kila miezi 3 ndiyo uwezo wangu. Inahitajika tarehe 23/3/2018.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom