Nyumba ya kupanga inahitajika Arusha

Nyumba ya kupanga inahitajika Arusha

stevetk

Member
Joined
Oct 18, 2014
Posts
31
Reaction score
1
Wadau,

Natafuta nyumba ya kupanga Arusha , kodi isizidi 200,000, mwendo wa gari kutoka katikati ya mji usizidi dakika 15, nyumba iwe na vyumba 2, chumba kimoja self, sebule, choo ndani.

0684 650 031
 
Nina nyumba sakina kibanda cha maziwa dk 3 mpaka barabarani chumba kimoja cha kulala sebule choo na bafu ina ukuta na packing.
 
Wadau bado sijapata hiyo nyumba , na nimechoka kukaa hotelin
 
Nina nyumba ya vyumba vitatu(kimoja master) sitting room,dinning room,kitchen,public toilet,parking kubwa,fence na garden.Nyumba ina meter ya LUKU na ina kisma cha maji na tanki lake.Bei laki sita na nusu.Nyumba ni mpya na full tiles nyumba nzima pia ina makabati ya ukutani vyumba vyote pamoja na jikoni pia.Nyumba ipo Morovian area (kati ya Mianzani na Triple A night club) mita 300 toka Moshi/Namnga road.call/text 0752489529

Nyumba zipo nadhani bajeti yako ndio kikwako.
Wadau bado sijapata hiyo nyumba , na nimechoka kukaa hotelin
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom