Nyumba ya kupanga dar

Nyumba ya kupanga dar

haka

Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
7
Reaction score
5
Habari zenu wakuu,
Nahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya magomeni au upanga.Budget yangu ni sh 200,000/=.Naomba msaada kwa yeyote atakayeweza kuipata hiyo nyumba. Mbarikiwe.
 
Asante, napendelea sana vyumba viwili mkuu. Vp mazingira yakoje? Maji yapo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom