Natafuta nyumba ya kupanga, vyumba 2, jiko, sebule, choo/bafu ndani ( self contained two bedrooms house) hapa Dar es salaam. Maeneo nipendayo ni Mikocheni, Kawe, Mbezi ya Tangi bovu, na Tegeta. Bajeti yangu ni laki 2 na nusu ( 250,000/=) Mwenye nayo ani PM au tuwasiliane kupitia 0713 478675.