Nyumba ya kupanga Bwiru Mwanza

Nyumba ya kupanga Bwiru Mwanza

TEAM VIBAJAJI

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2016
Posts
1,858
Reaction score
2,302
Habari zenu wakuu,kwa mwenye uhitaji wa nyumba ya kupanga yenye vyumba viwili na sebure ambapo kimoja wapo ni master pia inajiko na choo cha nje ipo ndani ya uzio maji na umeme vipo bei kwa mwezi ni lakimbili na unalipia miezi sita kwaatakaehitaji karibu pm
 
Iko Bwiru Mwanza.. wapo wahitaji humu, utawapa!

Nahitaji niione hiyo nyumba kwa kesho, nipe namba zako za simu nikutafute.
 
Habari zenu wakuu,kwa mwenye uhitaji wa nyumba ya kupanga yenye vyumba viwili na sebure ambapo kimoja wapo ni master pia inajiko na choo cha nje ipo ndani ya uzio maji na umeme vipo bei kwa mwezi ni lakimbili na unalipia miezi sita kwaatakaehitaji karibu pm
At a picha hutaki kuweka mkuu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom