Nyumba ya kupanga Arusha

G45

Senior Member
Apr 21, 2016
163
94
Habari wanajamvi kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji single room maeneo ya Sakina kwa Iddy (geti, maji, umeme ni vitu vya msingi)
 
Sasa kama single room kwenye title ungeandika chumba cha kupanga, alafu huwaga nashangaa mtu anachumba kimoja lakini anaaga washikaji naenda nyumbani, kumbe chumbani?
 
Sasa kama single room kwenye title ungeandika chumba cha kupanga, alafu huwaga nashangaa mtu anachumba kimoja lakini anaaga washikaji naenda nyumbani, kumbe chumbani?
Nahitaji getto mkuu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom