Ninahitaji nyumba ya kununua iwe sehemu reasonable kama tabata, bagamoyo road mwisho boko..Iwe na vyumba vitatu na fensi au sehemu ya kujenga fensi kupaki hata gari 2 ndogo. Iwe na hali nzuri au iwe ktk standard ambayo mtu unaweza kukarabati. Isiwe na mgogoro wowote kama vile ardhi au kifamilia..kama itakuwa na clean tittle dead itakuwa safi zaidi. My budget ni kuanzia 60mil na 70mil kutegemea na hali ya nyumba na location. For serious sellers or madalali tu naomba wani PM na details za hiyo mijengo..ahsanteni..