Nyumba ya kununua inahitajika haraka sana.

Nyumba ya kununua inahitajika haraka sana.

Kitomai

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
1,146
Reaction score
371
Iwe katika eneo la Mbezi Beach.Iwe na vyumba vya kulala visivyopungua vitatu, jiko, sebure kwa kifupi ramani au mchoro wake uwe wa kisasa na uwe unavutia. Iwe imejengwa juu ya kiwanja chenye Hati Miliki. Bei maelewano. Kama unayo tuwasiliane kupitia namba hii ya simu 0784225000. au email hii:info@kitomai.com
 
Back
Top Bottom