Nyumba ya kununua inahitajika -dar

Nyumba ya kununua inahitajika -dar

Horseshoe Arch

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2009
Posts
13,402
Reaction score
12,791
Kama kichwa cha habari kilivyoainisha inatakiwa nyumba ya kisasa yenye hati ..nasisitiza tena 'Hati'... iliyo sehemu inayofikika bila usumbufu katika majira yote ya mwaka na pia huduma muhimu (Maji+Umeme) zisiwe tatizo..Offer isizidi 60 M! Kwa anayekidhi vigezo tajwa anipm tufanye biashara baada ya uhakiki! Pia waweza nipata kupitia 0688228771..
 
ipo 1 inauzwa milioni 29.
3 bed rooms
1 seating room
water inside
electricity
toilet & bathroom with tiles

PM me if you are interested
 
Mkuu Fadhili namba ya simu nimeweka wazi hakuna sababu ya kuku PM..Piga hiyo no!
 
Ipo moja yombo temeke barabara mpya sehemu nzuri inafikika majila ya mwaka bei inavyumba 4 choo chandan sitingroo dyning nawanja wakutosha bei mill 35 fixed price cm 0712690760
 
Back
Top Bottom