Kwa kuongezea hapo hapo mwelekezeni hoteli ambazo wahudumu kwa maana wale wanaotoa vyumba muda wa kazi ukiisha wanakuja chumbani kwako kupiga story na wewe mpaka asubuhi maana Dar hii kulala peke yako hatariWakuu naomba kuuliza kwa anayejua hotel nzuri ya kulala maeneo ya Kinondoni ambayo being zake ni za kumudu mtanzania wa kawaida.
kinondoni guest house, 5000 tu!Wakuu naomba kuuliza kwa anayejua hotel nzuri ya kulala maeneo ya Kinondoni ambayo being zake ni za kumudu mtanzania wa kawaida.
Nenda Manhatan opposite na Makao Makuu ya CHADEMANahitaji kukaa siku tatu hivi mambo ya short time hayapo
Sema Password Classic Hotel Mkuu...Password hotel, JM hotel zote zipo manzese tip top
Asante mkuu home alone huwa bei ganiHapo vijana kuna barabara ya lami imashuka kwa chini hapo kuna vigest vingi self contained vya hiyo bei. Havina shida viko poa. anza na home alone na nyngne nyng ziko hapo. Ulizia tu.
Password iko maeneo gani na bei yao ikoje pengine kama wako humu waje waniambie bei yao kwa sikuSema Password Classic Hotel Mkuu...
Pia kuna Silver Paradise Hotel
Password hotel, JM hotel zote zipo manzese tip top