Muhamala Senior Member Joined Oct 1, 2017 Posts 101 Reaction score 88 Dec 30, 2019 #1 Wakuu kwema nyumba ya kukodishwa inahitajika maeneo ya boko isizidi mbele ya boko chama. Bila shaka humu tuna ma landlord. Iwe ndani ya fence. Vyumba viwe viwili kimoja master. Umeme na maji. Isiwe mbali sana na barabara. Bajeti ni 100,000 - 150,000
Wakuu kwema nyumba ya kukodishwa inahitajika maeneo ya boko isizidi mbele ya boko chama. Bila shaka humu tuna ma landlord. Iwe ndani ya fence. Vyumba viwe viwili kimoja master. Umeme na maji. Isiwe mbali sana na barabara. Bajeti ni 100,000 - 150,000