Nyumba ya kuishi inahitajika

Nyumba ya kuishi inahitajika

stephot

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2012
Posts
17,871
Reaction score
27,487
Nyumba ya kuishi ya kununua inahitajika vyumba 3 vya kulala iwe na sitting room,bafu,choo,jiko na store ndani,bei isizidi 20m,maeneo ya Ubungo mpaka Kibaha(Kongowe) iwe na umeme,ikiwa na maji itapendeza zaidi.Ukiwa nayo ni pm.
 
ipo mbezi beach m. 170 kama unahitaji nipigie 0755217702
 
ipo mbezi beach m. 170 kama unahitaji nipigie 0755217702

Sasa wewe mwenzako anataka nyumba ya mil 20 wewe unamwambia kuna ya m 170, kweli kuna uwiano hapo?
Au utapunguza mpaka mil 20?
 
Nyumba ya kuishi ya kununua inahitajika vyumba 3 vya kulala iwe na sitting room,bafu,choo,jiko na store ndani,bei isizidi 20m,maeneo ya kimara mpaka Kibamba iwe na umeme,ikiwa na maji itapendeza zaidi.Ukiwa nayo ni pm.

mi ninazo 3 na ziko mbagala chamazi zinauzwa 25m mi ni dalali 0657 14 55 55, 0686 200 117
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom