House4Sale NYUMBA ya kisasa INAUZWA bei poa.

Kama nyumba ina hati ya wizarani yenye majina ya muuzaji tutafutane.
 
Sababu ni vyumba viwili na sio vitatu
Wengi wanaona cheap sababu hawajui nyumba ni ndogo sana.
Pia ni ya mabachela, ukitoka chumbani unatokea nje ya nyumba tayari.
Hapo ni chini ya 400sqm.
 
Mswali ya msingi:-
Karibu kama ni muhitaji.
Majibu yote utayapata hapo.
Owner yupo karibu na hapo
Boss, asante kwa taarif ahii muh
Kiongozi, asante kwa taarifa hii muhimu! Mimi nina mswali kadhaa ya msingi:-
  1. Hiyo nyumba ni yako au wewe ni dalali?
  2. Infikika kwa gari?I mean gari inafika hadi kwenye nyumba au unapaki CCM?
 
Naomba utuwekee hapa Location/Map ili kurahisishs pia kuitazama mtandaoni....
 
Mswali ya msingi:-

Boss, asante kwa taarif ahii muh

Kiongozi, asante kwa taarifa hii muhimu! Mimi nina mswali kadhaa ya msingi:-
  1. Hiyo nyumba ni yako au wewe ni dalali?
  2. Infikika kwa gari?I mean gari inafika hadi kwenye nyumba au unapaki CCM?
Refer: parking space (vehicle) 2-3 Cars (small/medium size)
 
Naomba utuwekee hapa Location/Map ili kurahisishs pia kuitazama mtandaoni....
Mtandaoni how mkuu!
Mimi ndio nimeipost sijajua kama unaweza kuitazama kwa njia nyingine e.g Google map
 
Hii nyumba ni ya aina gan kama haina seating room,dinning room,public toilet halafu eti ina air condition hio gharama ya ac si angeweka hata choo cha public?
Nunua kisha uza AC ujenge hiyo public toilet
 
Mkuu uwe unatuwekea na Viwanja kama vipo huko Kitunda!Au kama una page ya instagram ili tuweze itembelea iweke Hapa mkuu!Nimevutiwa na Kitunda,nina imani pananifaa pia
 
nyumba imejengwa na mtu bahili..lol ukiwa na hela usikimbilie viwanja vya bei rahisi...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…