House4Sale NYUMBA ya kisasa INAUZWA bei poa.

NAREI

JF-Expert Member
Mar 10, 2017
1,730
1,648
NYUMBA inapatikana KITUNDA, Kivule
Km 8 kutoka nyerere road (old pugu road)
Nyumba Ina vyumba viwili (all are self-contained)
Aluminium windows, full gypsums & tiles
Perving blocks
air-condition installed
Full fenced
Maji+ umeme (24/7)
Price/offer: 27m



 

Size ya kiwanja baba?
 
Kiwanja kipo limited, space iliyobaki ni parking ya gari ndogo 3 hivi.

Kama 400sqm au zaidi au?

Waambie wapime mkuu!

Ila hiyo bei mkuu sidhani kama kuna ukweli hapo!!

Too good to be true!

Any documents?

Hati ya wizarani au kwa mwenyekiti mzee Juma?
 
Kama 400sqm au zaidi au?

Waambie wapime mkuu!

Ila hiyo bei mkuu sidhani kama kuna ukweli hapo!!

Too good to be true!

Any documents?

Hati ya wizarani au kwa mwenyekiti mzee Juma?
Karibu kama ni muhitaji.
Majibu yote utayapata hapo.
Owner yupo karibu na hapo
 
Hii nyumba ni ya aina gan kama haina seating room,dinning room,public toilet halafu eti ina air condition hio gharama ya ac si angeweka hata choo cha public?
Space ni limited!
Usiumize sana akili.
 
Nyumba ya vyumba viwili ni ndogo. Ni level ya apartment. Inaendana na Bei. Pia location inamata
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…