Nyumba ya kisasa inapangishwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba ya kisasa inapangishwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Michael Amon, Dec 5, 2011.

 1. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #1
  Dec 5, 2011
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Nyumba mpya kabisa na ya kisasa iliyopo maneo ya sakina nyuma ya Diamond Motel jijini Arusha inapangishwa kwa bei nafuu kabisa.

  Sifa za nyumba

  • 1 Large Sitting Room
  • 1 Master Bedroom
  • 2 Bedrooms
  • Water and electricity is available
  • Kitchen
  • Toilet
  [FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]Nyumba hii inawafaa watu wenye familia na volunteers.

  Kama umeipenda na uko tayari kupangisha nyumba tafadhali usisite kuwasiliana nami kupitia anwani zifutazo:-
  Mobile: +255784 554 221
  E-mail: youngmaster14@ymail.com
  [/FONT]
   
 2. Karhumanzira

  Karhumanzira Member

  #2
  Dec 5, 2011
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 50
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Ni hizi au? Kama vp weka picha

  [​IMG]
   
 3. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #3
  Dec 5, 2011
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  hapana kaka sio hizo
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  Dec 5, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hiyo bei nafuu mbona huitaji?
   
 5. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #5
  Dec 6, 2011
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  cjaitaja bei kwa sababu bei ni maelewano na ndio maana nimetoa contact zangu ili kwa atakayehitaji kujua bei au chochote kuhusiana na hiyo nyumba awasiliane nami. @Lizzy
   
 6. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #6
  Dec 6, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Nimekusoma YM ila kwa kusema unayofikiria wewe utafanya watu wa wawe more interested.Mi mwenyewe natamani sana kujua bei ili nijue kama ni saizi yangu au la.
   
 7. Domenia

  Domenia JF-Expert Member

  #7
  Dec 6, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 462
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  samhani...nilifikiri nyumba ya kisiasa...kumbe ya kisasa....samahani bwana mkubwa
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Dec 6, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,497
  Likes Received: 19,912
  Trophy Points: 280
  namba ya simu huioni hapo
   
 9. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #9
  Dec 6, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kabla ya kupiga simu nataka niwe na idea ya bei anayotaka.
   
 10. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #10
  Dec 6, 2011
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Bei ya nyumba hiyo ni sh. 400,000 kwa mwezi.
   
 11. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #11
  Dec 6, 2011
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Hamna shida kaka. Usijali
   
 12. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #12
  Dec 6, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Siunaona sasa nimejua sio saizi yangu bila hata kukisumbua. ASANTE.
   
 13. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #13
  Dec 6, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  saizi yako ni sh ngapi kwa mwezi?
   
 14. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #14
  Dec 6, 2011
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Wala usingenisumbua kwa sababu mteja ni mfalme na mimi nipo kwa ajili yako ili nikutumikie.
   
Loading...