PENTAKINYE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2019
- 817
- 829
kwani na hiki kipande au hii ya mwisho nayo ni moja nahizo zingine|?
kwani na hiki kipande au hii ya mwisho nayo ni moja nahizo zingine|?
Ingekua kwa wenzetu, hii ni challenge na ingefanywa kuwa fursaHalafu dalali nayeye anataka 600k.dah aise hii dar bwana kufa kufaana.
Hajui lori ngapi za mchanga zimekufa hapo.
Hajui mpangaji kapata vipi hiyo hela,ila kuwakutanisha tu imekuwa tabu.
Na kimfaacho mtu chake.Nzuri aisee ila nyumba nzuri ni yako tu.