nyumba ya kisasa inapangishwa DSM

nyumba ya kisasa inapangishwa DSM

mjasiriamali mdogo

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2013
Posts
262
Reaction score
117
ina vyumba 3, master 1 na 2 vya kawaida, jiko,stoo, sebule na dinning rm, ina maji ndani, umeme, fensi ya ukuta na geti. Ipo mtoni kijichi karibu na nssf project. Daladala ni mita 100, njia kuu ni kilwa road ukifika mission unakata kulia au unashuka zakhem. Bei ni laki 4 kwa mwezi. Ni pm au malimangosha@yahoo.co.uk
 
By default, unaposema ukifika Mission basi moja kwa moja mtu atafahamu unapofika mission wakati unatokea town! Sasa kama ndivyo, ukifika mission na kukata kulia, utafika Kijichi kweli?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom