Ina vyumba vinne vya kulala, sebure, jiko .n.k kiwanja chake kina ukubwa wa 850, Kimepimwa na kina hati. Bei 250mil. Kuiona au maelezo ya ziada piga simu au whatsapp 0784225000.
Kwa bei na jinsi ninavyoiona ni kwamba Mnunuzi lazima aende na Engineer wa manispaa ili kuangalia ubora wa Jengo lenyewe
Maana linanitia mashaka,asije kuwa amezuiliwa kaona hasara amsukumizie mwenzie
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.