Nyumba ya DC Kilwa yateketea kwa moto

Nyumba ya DC Kilwa yateketea kwa moto

KIBE

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Posts
943
Reaction score
186
Mkuu wa Wilaya ya Kilwa, Abdala Ulega na Familia yake wamenusurika kifo kufuatia nyumba yao kuteketea kwa moto leo asubuhi, chanzo hakijafahamika.
Chanzo cha moto bado hakijajulikana.

Karibu vitu vingi vimeokolewa.
 
Karibu wakazi wote wa kilwa masoko wako kwenye tukio kusaidia zima moto. Chanzo cha moto bado hakijajulikana. Karibu vitu vingi vimeokolewa.

Hilo li DC si ni Kada wa Majambazi? Life tu
 
Pole sana kiongozi, ikiwa ni tatizo la umeme kurudi kwa nguvu nafikiri wewe kama kiongozi ndio ukilifuatilia litapata ufumbuzi.
 
Pole sana Mkuu wetu wa Wilaya pamoja na wana Kilwa wote kwa Janga hili baya la Moto.
 
Hatari sana...ajali ya moto hasa kuunguliwa na nyumba huwa inatisha sana.
 
Tunasikitika Kwa tukio hilo bays.basi nawaombeeni mungu awanusuru na kifo. Moto ni kama ukuta usishindane NATO.tafadhali ukiona moto hata kama ndani umeacha Vito vya thaman via che
Ondoka zako. Life is paramount ,don't compromise safety
 
Ziungue tu,ikiwezekana hata pale kwe myee wa kaya magogoni paungue tu sijaona faida ya uwepo wake.
 
Hahaha. ...MUNGU anawaadhibu maDC wanajifanya miungu watu...km huyo dc wa kilwa anakula mishahara hewa ya watumishi....wanapenda kunyenyekewa na vyeo vyao..nyambafuu
 
Back
Top Bottom