Miaka ya 80 kuna askari waliishi kwenye nyumba za hivyo mitaa ya Keko na Chang'ombe Dar.Mkuu kwanini Kama una pesa za mabati namna hio SI Bora ujikusanye kusanye ununue tofali za laki tano naamini zinatosha kujenga ukubwa...
Shukrani kwa idea njema mkuu.Mkuu kwanini Kama una pesa za mabati namna hio SI Bora ujikusanye kusanye ununue tofali za laki tano naamini zinatosha kujenga ukubwa Kama huo pichani..fundi mtafute wa kitaa awe mzuri ila mlevi mlevi unamlalia 200000, tunaendelea mbao na bati jipige hata laki tano Tena unaondoka.
Nyumba za kawaida sana huko Kenya, sio ajabu kuona tangazo mtandaoni nyumba inapangishwa na imejengwa kwa bati nzuri nje, ndani imejengwa kwa mbao na gypsum boards safi, chini msingi wa mawe!
View attachment 2289570View attachment 2289571View attachment 2289572View attachment 2289573View attachment 2289574
Nikushauri kitu, sababu umesema eneo unalojenga Lina baridi kiasi.Mkuu, Km kias gan inaweza cost mpk kukamilika kwa kibanda mithili ya hicho.. Roughly estimation
Thanks a lot. Ngoja Nitumie hii kama makadirio ya mwanzo, nifanye evaluation. Nitaleta majibuNikushauri kitu, sababu umesema eneo unalojenga Lina baridi kiasi.
Makadirio ya mahitaji.
Tofali blocks 75pcs
Mchanga kirikuu/guta 1
Kokoto ndoo kubwa 10
Mabati ya mita 3 25pcs
Cement mifuko 5
Mbao (za nguzo) 7pcs zenye dawa zitapendeza
Mbao za pembeni(Kuta)12pcs,size 2*3
Mbao za kupaulia 5pcs, size 2*2
Mlango utaangalia uwezo wako, japo wa bati pia ni bei ndogo.
Misumari ya kawaida 4kg
Misumari ya bati 1.5kg
Maji pipa 2
Rangi ya mafuta lita 4
Wire mesh 1 au 2
Mosquito net mita 4
Ufundi mpe 150k au 200k
Pesa ya dharula 30k
Naamini mpaka hapo utapata mwanga wa ujenzi wako kulingana na bei za materials huko uliko. Japo cha bei kubwa hapo ni bati. Ukipata zile used ni nzuri pia maana zinapigwa rangi.
All the best mkuu.Thanks a lot. Ngoja Nitumie hii kama makadirio ya mwanzo, nifanye evaluation. Nitaleta majibu
NB: Kipindi nawaza kuhusu container nilikuwaga nimepigika haswa kipato kwa mwaka hakikuzidi million moja.
Now naweza kushika zaidi ya millioni kwa mwezi ndo maana nimelifuta wazo la container...au km ninapata pesa za kumwaga nakupigia underground bunker.[emoji16][emoji23] Tuwasubiri wadau wabobezi ma principal wa sekta za ujenzi ...
Bati Moja elf 27.5 wakati hii hela unapata tofali 24. Chumba kimoja ni tofali 400 tuBinafsi naona mabati ni gharama kuliko matofali. Maana bati za pembeni lazima ziwe na strong sana