Cheaper house like this you mean? see the toilet? Whoever leave in this house can understand you when you say cheap house of 35m or 20m? Bro are u Tanzania, ushawahi ona maisha ya uswazi?
Mkuu inavyooneka watu wanashindwa kulinganisha kipato cha watanzania walio wengi na vipato vyao vya kula kwa kalamu.
Mtu anaposema 20M kwake ni ndogo akumbuke pia kuwa kuna mwenzake naye pia anaona kujenga nyumba ya 100M ni kitu kidogo sana. Je na yeye anayeidharau 20M akiambiwa ajenge kibanda cha 100M ataweza?
View attachment 142195Cheaper house like this you mean? see the toilet? Whoever leave in this house can understand you when you say cheap house of 35m or 20m? Bro are u Tanzania, ushawahi ona maisha ya uswazi?
Hii nyumba infaa sana kwa wale wanaotaka kujenga, ni kiasi cha kuja hapa na kuhesabu tofali ngapi zimetumika kujengea nyumba yenye ukubwa kama huu, then nafikiri itamsaidia sana kukadiria gharama za ujenzi.
Na huyo bado anapewa heshima ya kuitwa Baba/Mama mwenye nyumba kama kawaida...
ni kweli mkuu, maana hata huyo Injinia Mchechu kwa kipato chake, hiyo hela ni ndogo sana kwake. Kwa hiyo ni kweli hiyo ni very cheap....
Ukichanganya na kipato walichonacho mafisadi ambao wananunua nyumba hizo na kuzipangisha kwa walala hoi kwa bei kubwa, ni kweli hizo nyumba bado ni cheap sana...