Nyumba y KUPANGA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba y KUPANGA

Discussion in 'Matangazo madogo' started by CHIJANYE, Oct 9, 2012.

 1. C

  CHIJANYE JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 344
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Nahitaji.nyumba vyumba.viwili sitting room jiko na choo iwe na luku yake na maji yawepo isiwe uswazi kunakojaa maji vyumba viwe vikubwa maeneo mwananyamala, kinondoni makumbusho bei Nina 150000 mpaka 180000 nalipa mwaka namba 0715696920
   
 2. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2012
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Mkuu hiyo bei umekosea au? Hiyo laki moja na nusu ni kodi ya chumba kimoja tu chenye choo chake maeneo ya makumbusho.

  Kwa specs ulizotoa na ili usipate uswazi andaa 650,000 to 9000,000 ili upate nyumba maeneo ya makumbusho au
  kinondoni.

  otherwise uwe tatari kupanga mabwepande au kibaha.
   
 3. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Nyumba ipo 2 rums za kulala, sitting rum, jiko na choo makumbusho bei 450 kwa mwez kod mwaka,, nyingine ipo survey kama hiyo hiyo sema imeongezeka 1 master bedrum kodi 500 kodi mwaka,,, pia kuna chumba na sebule selfu,, ipo bamaga bei 200 kodi mwaka.. Usisahau kuongeza mwezi wa dalali,, kama upo serious ni pm nikuunganishe na mtu as sipo dar...
   
 4. Bosco Ntaganda

  Bosco Ntaganda JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 551
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Bei ya nyumba maeneo ya kimara ikoje?
   
Loading...