Nyumba vyumba viwili self inahitajika

Ba Brio

Member
Joined
Mar 19, 2012
Posts
78
Reaction score
37
Maeneo kuanzia shekilango hadi kimara mwisho. Isizidi 3kms kutoka main road. iwe na parking walau ya gari moja. Ikiwa ya kujitegemea itafaa zaidi lakini si lazima sana.

Hii ni serious sana wana jf. naomba wabezaji wanihurumie.Nijulishe kwa 0713690810.

Ahsanteni.
 

Ahsanteni wale mlionipigia simu. ila bado sijafanikiwa. please mwenye taarifa juu ya hili asisite kunijulisha.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…