House4Rent Dalali wa vyumba, Nyumba Viwanja Dar es Salaam

Nyumba Vyumba Vitatu (Masta moja), Sebule,Jiko na Choo cha familia.
Kodi ya Mwezi- Tshs Laki 6
Mahali: Mbezibeach

Maelezo Zaidi - 0716442950
IMG_20210609_123320.jpg
IMG_20210609_170752.jpg
 
Chumba na Choo chake ndani ( Masta)
Ina:
Majidawasa #Umemelukuyake #Fensi #Parking #Usalamawote #NyumbaMpya ndiyo inamaliziwa.

Kodi ya Mwezi: Tshs 150,000

Mahali: Mbezibeach karibu Shule ya Kilimani - barabara ya Goba/Mbezibeach.

Wasiliana: 0716442950/ 0686648630

IMG10.jpg
IMG3.jpg
IMG6.jpg
IMG4.jpg
 
Chumba Sebule Choo ndani na Jiko.
Kodi ya Mwezi: Tshs 150,000
Mahali: Goba njia nne.
Piga: 0716442950

Umeme mita yako, Fensi na Geti.
Nyumba mpya, wewe utaifungua
20210618075257_0.jpg
20210618075257_7.jpg
20210618075257_5.jpg
 

Attachments

  • 20210618075257_9.jpg
    20210618075257_9.jpg
    36.3 KB · Views: 5
Chumba Sebule Choo ndani.
Kodi ya Mwezi: Tshs 130,000
Mahali: Goba Kwa Awadhi
Maelezo Zaidi: 0716442950

Umeme mita yako, Fensi na Geti na Parking ipo.
20210617071823_0.jpg
20210617071823_1.jpg
20210617071823_2.jpg
20210617071823_3.jpg
 
Chumba na Sebule, Choo chako mwenyewe nje haushei.
Kodi ya Mwezi: Tshs 100,000
Mahali: Goba njia nne.
Maelezo Zaidi: 0716442950

Umeme mita yako, Usalama upo.
Nyumba mpya, wewe utaifungua.
20210616232742_1.jpg
20210616232742_2.jpg
20210616232742_4.jpg
 
Chumba na Choo chake ndani ( Masta)
Ina:
#Majidawasa #Umemelukuyake #Fensi #Parking #Usalamawote

Kodi ya Mwezi: Tshs 150,000
Mahali: Mbezibeach karibu Shule ya Kilimani - barabara ya Goba/Mbezibeach.

Wasiliana: 0716442950 // 0686648630View attachment 1822034View attachment 1822035View attachment 1822036View attachment 1822038
Note: Nyumba mpya, ndiyo ipo Kwenye hatua ya ukamilishwaji..

For site view ( Primary source of information ); Serious buyer contact 0716442950.
 
Apartment ya Vyumba2 (Masta 1), Sebule, Choo cha familia, na Jiko.

Mahali: Mbezibeach, Goigi. Nyumba ya pili kutoka barabara ya lami ya bagamoyo.

Kodi ya Mwezi: Tshs 500,000. Pamoja na gharama za ulinzi, Maji, Usafi na takataka.

Umeme luku yako, Maji ya bomba/dawasa Masaa 24.

Maelezo Zaidi: 0716442950 / 0686648630

20210613165511_7.jpg
20210613165511_1.jpg
20210613165511_4.jpg
20210613165511_5.jpg
 
House forsale
Plot Size - 600sqm
Price - Tshs 35 Milioni
Mahali - Mbezibeach, Tangibovu. One kilometer distance from Main bagamoyo road.

There is 6 Units in the compoud, three units consist of one bedroom (Self-contained) Plus Sitting roon. The other three units consists of one bedroom Sittingroom plus outdoor toilet.


More Information - 0716442950 or 0686648630

IMG_20210618_115003.jpg
IMG_20210618_114517.jpg
IMG_20210618_115001.jpg
 
Nyumba Kwasasa inatumika kwa biashara ya kupangisha.
Ina: Chumba Sebule choo ndani, Ziko 3.
Chumba Sebule choo nje, Ziko 2
Chumba Singo choo, Iko 1

Ukubwa wa Kiwanja: 600 Sqm
Bei: Tshs 35 Milioni
Mahali: Mbezibeach Tangibovu. Umbali wa kilomita 1 Kutoka kituoni tangibovu ( bagamoyo road), Upande wa Kushoto kama unatokea Mwenge.
Maelezo Zaidi: 0716442950 , 0686648630.

Kidokezo: Ukinunua hii nyumba, na ukihamua kuendelea kufanya biashara ya kupangisha. Ndani ya miaka 3 pesa yako inarudi, unaanza kuhesabu faida.

Na kama utahamu kuiweka kisasa zaidi, faida utaipata zaidi

1624019183690.png
 
Nyumba ipo Sehemu nzuri, huduma zote zinapatika kwa urahisi. Huduma ya maji ya dawasa/bomba, Umeme wa tanesco masaa24, barabara nzuri hadi kwenye nyumba.

Biashara haina zengwe, mwenyenyuma ana nyumba nyingine pembeni anahishi hapo. Matatizo ndiyo yanamfanya aiuze.

Maelezo Zaidi: 0716442950.​

IMG_20210618_114517.jpg
 
Jenga uza wamenizoesha vibaya nikajua nyumba ya 35M nitakuta rangi rangi, uzio, msouth n.k.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom