Nyumba vyumba 8 inauzwa kunduchi

Nyumba vyumba 8 inauzwa kunduchi

dovillenproperty

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2014
Posts
3,203
Reaction score
2,227
Nyumba inavymba 8 na mabanda ya uwani.. size plot 700sqm
Pia kuna frem moja ya duka
Mita mia kutoka lami

Panafaa Guest house, hostel, apartment, dispensary nk

Bei 80m
Bei ina maongezi japo kidogo

Mawasiliano 0756060183

IMG_20181013_143936.jpg
IMG_20181013_143909.jpg
IMG_20181013_143941.jpg
IMG_20181013_143953.jpg
IMG_20181013_144032.jpg
 
Huo utofauti wa maisha ndio unakufanya utake pesa ndefu kwa nyumba inayohitaji matengenezo makubwa?
Mkuu nyumba inaweza kuwa inahitaji matengenezo ila thamani ya kiwanja maeneo iliyopo ni kubwa kulinganisha na maeneo tofauti tofauti mjini!

Kiwanja cha masaki ni tofauti na mikocheni na mikocheni ni tofauti na mbezi beach na sinza ni tofauti na kimara..nk

Kwahyo kipato chako ndicho kinacho kuchagulia uishi wapi na si vinginevyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom