NYUMBA VINAPANGISHWA.

NYUMBA VINAPANGISHWA.

Fundi umeme

Senior Member
Joined
Jun 17, 2016
Posts
116
Reaction score
24
Husika na kichwa cha habari hii hapo juu napangisha nyumba ya vyumba viwili chumba na sebule mahali vilipo ni kimara baruti kwa mguu adi kuifikia nyumba ni dk 15 ila kuna bajaji zinafika adi mlangoni bei ni 500 sifa za nyumba nyumba ina vyumba viwili chumba na sebule na vyote vina tiles na luku inajitegemea Maji hapo kila muda na mazingira ni mazuri ata kwa familia Bei ni tsh 90000 kwa mwezi na kodi ni miezi 6 Kwa mawasiliano 0753 505115, 0715505115 au 0689330820.
IMG_20171208_152408.jpg
IMG_20171208_152339.jpg
IMG_20171208_152315.jpg
 
Ni self contained au choo cha nje cha kushea?
 
Nyumba Inapangishwa

Au Vyumba vinapangishwa.

Rekebisha heading...!
 
Vyumba ni vya nje kwenye mlango wa kuingilia wa nje wa kuingilia sebleni kuna geti ila nyumba haina fensi lakini ni eneo ambalo hakuna sifa ya wizi wizi wa kijinga jinga ata saa nane unaweza ukarudi hamna hofu ya kukabwa wala nn
 
Kha! Nyumba ni nzuri ila huto tu vyumba ni tudogo sana. Yani hapo hata mtu mwenye funiture ya vigoda na stuli bado hatoweza kupata nafasi ya kuviweka...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom