Fundi umeme
Senior Member
- Jun 17, 2016
- 116
- 24
- Thread starter
- #21
Aya kiongozi nimekusoma.Usawa mgumu huu
Aya kiongozi nimekusoma.Usawa mgumu huu
Aya nimekubali bila humu jamii forum some tymes kuna watu wako kwaajili ya kualibia watu mishe zao sijui huwa hawana ata kazi za kuifanya .Kubali kukosolewa mkuu
nje na mazingira please pichaHusika na kichwa cha habari hii hapo juu napangisha nyumba ya vyumba viwili chumba na sebule mahali vilipo ni kimara baruti kwa mguu adi kuifikia nyumba ni dk 15 ila kuna bajaji zinafika adi mlangoni bei ni 500 sifa za nyumba nyumba ina vyumba viwili chumba na sebule na vyote vina tiles na luku inajitegemea Maji hapo kila muda na mazingira ni mazuri ata kwa familia Bei ni tsh 90000 kwa mwezi na kodi ni miezi 6 Kwa mawasiliano 0753 505115, 0715505115 au 0689330820.View attachment 646851View attachment 646852View attachment 646853
Raha ya kitu ni kusogea na kuona ww mwenyewe Na sio kuangalia Picha na kuridhika mm sina ada ya kukupereka labda ukitaka kuichukua ndo mambo ya mwezi moja utahusika.Kha! Nyumba ni nzuri ila huto tu vyumba ni tudogo sana. Yani hapo hata mtu mwenye funiture ya vigoda na stuli bado hatoweza kupata nafasi ya kuviweka...
Umepiga Namba ipi nikawa sipokei Simu kiongozi.Mbona sasa hupokei Simu?
Ina jipsum pia ambazo ni mpya yaan ukiipata ww ndo unaweza kuwa mpangaji wa pili tangu hivyo vyumba vilivyojengwa.Naona umepiga picha sakafu tu..... Au ndo kipaumbele zaidi?????
Sasa umeweka picha za nini?Raha ya kitu ni kusogea na kuona ww mwenyewe Na sio kuangalia Picha na kuridhika mm sina ada ya kukupereka labda ukitaka kuichukua ndo mambo ya mwezi moja utahusika.
Haina maslahi kiongozi.Fanya 50000 nalipa kodi ya miaka 3.
Mazingira ni mazuri sana kiongozi ilo isiwe na hofu nikipata muda ntapiga na Picha ya mazingira yote.nje na mazingira please picha
Sawa BossHaina maslahi kiongozi.
Soma maelezo vizuri kiongozi.Iko mbagala au?
Jenga yakoInafaa kufugia ng'ombe mkuu ?
Ok kimara barutiSoma maelezo vizuri kiongozi.
Sawa bossJenga yako
Inafaa kufugia ng'ombe mkuu ?
Jenga yako
😀😀😀😀😀Sawa boss