Fukara JF-Expert Member Joined Dec 28, 2013 Posts 1,624 Reaction score 931 Apr 29, 2016 #1 Nyumba ina vyumba 3,.master kimoja,jiko sebule,kuna maji na umeme na car parking,Geti.bei ni laki 2 kwa miezi 6. />Mawasiliano 0712355025
Nyumba ina vyumba 3,.master kimoja,jiko sebule,kuna maji na umeme na car parking,Geti.bei ni laki 2 kwa miezi 6. />Mawasiliano 0712355025
R Mbuna JF-Expert Member Joined Dec 30, 2015 Posts 2,295 Reaction score 5,450 Apr 29, 2016 #2 sijakuelewa kwenye bei hapo laki 2 miezi sita au laki 2 kwa mwezi ila inatakiwa muhitaji alipie kodi ya miezi.
sijakuelewa kwenye bei hapo laki 2 miezi sita au laki 2 kwa mwezi ila inatakiwa muhitaji alipie kodi ya miezi.
Mungu ibarik JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 3,384 Reaction score 11,538 Apr 29, 2016 #3 picha za ndani please