House4Rent Nyumba nzuri inapangishwa, ipo Kimara Suka

Fukara

JF-Expert Member
Dec 28, 2013
1,625
928
Nyumba ina vyumba 3,.master kimoja,jiko sebule,kuna maji na umeme na car parking,Geti.bei ni laki 2 kwa mwezi kodi kwa miezi 6.

Mawasiliano 0712355025
9a46b5d6c6017cd927d81a9fa1c8a5a2.jpg
00521186c34a42373e713e6662c82ac1.jpg
 
Nyumba Bei Rahisi aisee TZS. 200,000 tuu kwa miezi 6 wadau changamkieni hii kisha unaipangisha tena.
 
ili kumzima ndomo wa kupandisha pandisha kodi , unalipa ya miaka mitano kabisa Tsh 2,000,000/= UKITOKA HAPO UNAHAMIA KWAKO!!!
 
Wewe ndo Unajiongeza akili isiyo na maana Soma Thread Vizuri Usikurupuke! Dada
Nanukuu......Nyumba ina vyumba 3,.master kimoja,jiko sebule,kuna maji na umeme na car parking,Geti.bei ni laki 2 kwa mwezi kodi kwa miezi 6. ..... Mwisho wa kunukuu

Sasa angalia kati yangu na yako nani anajilazimisha ukichaa
 
Mkuu achana nae sababu sku izi kuna vichaa ambao wana ukichaa temporarily..
 
Mkuu achana nae sababu sku izi kuna vichaa ambao wana ukichaa temporarily..
Nimekuelewa mkuu, naachana naye...

Ila namkubali sana Ernest Hemingway aliposema...........An intelligent man is sometimes forced to be drunk to spend time with his fools..............
 
Nyumba ina vyumba 3,.master kimoja,jiko sebule,kuna maji na umeme na car parking,Geti.bei ni laki 2 kwa mwezi kodi kwa miezi 6.

Mawasiliano 0712355025
9a46b5d6c6017cd927d81a9fa1c8a5a2.jpg
00521186c34a42373e713e6662c82ac1.jpg
Hii ni biashara,Usikurupuke,tulia uandike vizuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom