Nyumba Nyumba Inapangishwa Tabata karibuni

Adharusi

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2012
Posts
14,504
Reaction score
7,439
Nyumba inapangishwa ipo Tabata segerea
-Nyumba ina uzio na geti
-ina kisima cha maji na tank la kuhifadhia maji
-ina vyumba vitatu(master moja),sebure,dining,parking mbili,jiko,stoo,public toilet.
-na ina nafasi ya kutosha
Kodi ni Tsh 450,000/= inatakiwa kuanzia miez 6
Muhimu😀alali hatakiwi, tena kaa mbali sana
#Kituo ni Tabata Sanene au Kwa bibi mote unafika
 
weka picha tuione kaka.
 
weka picha tuione kaka.

Weka Picha mkuu!
hii ni picha ya kwanza zingine zinafuata!
Bk8fCwGIUAAuLTC.jpg
 
Picha zinagoma nitaweka zingine
 
Nyumba inapangishwa ipo Tabata segerea
-Nyumba ina uzio na geti
-ina kisima cha maji na tank la kuhifadhia maji
-ina vyumba vitatu(master moja),sebure,dining,parking mbili,jiko,stoo,public toilet.
-na ina nafasi ya kutosha
Kodi ni Tsh 450,000/= inatakiwa kuanzia miez 6
Muhimu😀alali hatakiwi, tena kaa mbali sana
#Kituo ni Tabata Sanene au Kwa bibi mote unafika

mbona umeondoa namba zako tena?
 
watu wanataka kuona nyumba naona umetupia geti tu mkuu, onesha nyumba nje ndani mkuu.
 
Niko njiani kuweka kila kitu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom