Nduka Original
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,012
- 817
mmmh sina hata na la kusema.usije ukaniona mbaya bure.in short,huoni aibu na hayo maelezo yako?
ulisha kosea game ....sasa wewe endelea kukala uroda tuu bana wala usijali kuhusu huyo mchumba wake...infact u sbuld be happy maana anakupa utamu nd mchumba has to deal na mwanamke dishonest
mkeo na yeye lazima wajanja wanamtafuna barabara
mkeo na yeye lazima wajanja wanamtafuna barabara
huko ku-share sikushauri.ukimwi unaua.
Mkubwa ze wife wangu katulia sana nina uhakika nae 100%
I was about to say the same. Mtu una mke wako wa ndoa kabisa, bila aibu unataka sisi tukupe mbinu za kuhandle nyumba ndogo?mmmh sina hata na la kusema.usije ukaniona mbaya bure.in short,huoni aibu na hayo maelezo yako?