Nduka Original
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,012
- 817
- Thread starter
-
- #41
Pole,,,
Watu wanakuponda as if hawafanyi hii kitu anu ni jambo geni..................
Kula roho kitu inapenda na ukirudi muombe msamaha kwa kumuacha peke ake sikukuu hii.
Niko Mombasa kwa mapumziko ya X-mas na mwaka mpya. Nimesafiri na wife na watoto. Shida sub-house imekasirika sana haitaki mawasiliano na mimi, hapokei simu wala hajibu message. Mimi wanawake wengine sijui wakoje bana.
Ni mtu anaejiheshimu bwana hawezi fanya vitu kama hivyo
Hapana aisee huyu anajiheshimu sana
Ulivyoamua kwenda 'kumkwaruza' mkeo huko naye 'anakwaruzwa' na kidumu kingine huku huku...Niko Mombasa kwa mapumziko ya X-mas na mwaka mpya. Nimesafiri na wife na watoto. Shida sub-house imekasirika sana haitaki mawasiliano na mimi, hapokei simu wala hajibu message. Mimi wanawake wengine sijui wakoje bana.
Ulishindwanini kunichukua twende wote? Embu kasome uzi wa THE BOSS Kwanza!! Na usirudi!!
Ni mtu anaejiheshimu bwana hawezi fanya vitu kama hivyo
We Munkari kumbe hata hujui strategy za kuwa smoli house. Akuchukue mwende wote wakati yuko na big house halafu ndo iweje? Badala ya hiyo ya kwenda wote ulitakiwa uwe na plan ya safari yako na yeye wakati mwingine.
Big house na smoli house hazitakiwi kuchanganywa pamoja, labda kwenye misiba tu.
yaan dalili za ukimwi siyo mpaka ukapimwe , ukimwi unaua kwa wale wanaopendana na siyo kwa bahati mbaya
vyoooohooooooo!!!!unadhani sifa?!!!
ungemuacha mkeo uende na huyo nyumba ndogo!!
Why? Kwanini mkeo asikutoshe? Mko wangapi? Vunja mtandao, baki na mkeo tu!
Jitahidi uache usaliti,utavuna ulichopanda.