Nyumba nauza

Nyumba nauza

hedaya

Member
Joined
Sep 19, 2013
Posts
33
Reaction score
1
Nauza nyumba mjengo wa kupangisha ya zamani ya chini iko mjini kabisa pembeni ya hospitali kuu alrahma mjini zanzibar ina vyumba saba including na store nane pia ina vyumba viwili vya uwani ina kisima na vyoo vinne iko karibu na bara bara ya kuendea airpot kwa mawasiliano zaidi 0785 996663
 
Inafananaje? Picha.
 
Price ni 95m bei chee na wamo wapangaji kama kuna mtu serious tafadhali anijuulishe nitoe taarifa ya masiku yalobakia ......
 
Ali chum simjui sababu mim skai maeneo hayo mm naishi hapa jengo laofisi ya waziri huko wana kaa wapangaji tu. Ukitaka kuiona njoo niko free mida hii
 
Price ni 95m bei chee na wamo wapangaji kama kuna mtu serious tafadhali anijuulishe nitoe taarifa ya masiku yalobakia ......

We sio wa bara aisee. Watu wa bara huwa hawatumii kiswahili cha hivyo.
 
Kufahamika ndio mpango mzima hayo mengine sifahamu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom