Nyumba mpya ya kisasa inauzwa

Nyumba mpya ya kisasa inauzwa

dip pub

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2014
Posts
389
Reaction score
74
nyumba ya vyumba vitatu,kimoja ni master,jiko,sebure,dinning,public toilet.iko ndani ya uzio ina eneo lenye ukubwa wa sqmt 1000,pia eneo limepimwa na linahati. iko tabata kinyerezi bei ni milioni 250 mazungumzo yapo #0714359610
 

Attachments

  • DSC00681.JPG
    DSC00681.JPG
    299.1 KB · Views: 769
  • DSC00682.JPG
    DSC00682.JPG
    376.9 KB · Views: 725
  • DSC00683.JPG
    DSC00683.JPG
    353.1 KB · Views: 719
  • DSC00684.JPG
    DSC00684.JPG
    402.3 KB · Views: 650
  • DSC00685.JPG
    DSC00685.JPG
    373.4 KB · Views: 582
  • DSC00686.JPG
    DSC00686.JPG
    295.1 KB · Views: 581
  • DSC00688.JPG
    DSC00688.JPG
    331.9 KB · Views: 548
Loh!kumbe ntafia kwenye nyumba za kupanga!250mill?
 
Loh!kumbe ntafia kwenye nyumba za kupanga!250mill?

Umeona ata ww mkuu... Maana hiyo ml250 unapata kiwanja kikubwa kama icho na unajenga nyumba nzuri kuliko hiyo na chenji inabaki nyingi tu
 
Mmmh kwa haka kamshahara si ntaishia kumiliki uchochoro tu

Looh 250mil ntaishia kuichara tu!
 
piga simu tukae mezani,ndo maana nilikwambia mazungumzo yapo mkuu
 
Bila ile biashara ya kwenda china hapa utapasikia tu,by the way mmesema Tembo wamebaki wangapi vile???
 
aisee yangu naiuza ilala na imetamaniwa na waarabu nikizikamata tu/nakuja fasta ktk <fresh breath>
 
maisha km vidole wengine wamejenga kwa 30mils na kila ktu hadi umeme na kisima
 
Nyumba ina rangi nyingi kama ya wahindi au NHC, looh utafikiri imetiwa binzari??? By the way the Tshs 250,000/= is too much on the higher side, please lower it to be friendly to your normal non-fisadi Tanzanians, please!!!
 
Umeona ata ww mkuu... Maana hiyo ml250 unapata kiwanja kikubwa kama icho na unajenga nyumba nzuri kuliko hiyo na chenji inabaki nyingi tu

hiyo bei haki kabisa,tena nimeona kama ndogo vile
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom