Nyumba Mpya Ya Ghorofa Moja Inauzwa Mbezi Beach. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba Mpya Ya Ghorofa Moja Inauzwa Mbezi Beach.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kitomai, Jun 16, 2012.

 1. Kitomai

  Kitomai JF-Expert Member

  #1
  Jun 16, 2012
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,032
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
 2. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #2
  Jun 16, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,228
  Likes Received: 13,680
  Trophy Points: 280
  Ni Vizuri ungetuwekea Picha na Bei na Mazingira yanayoizunguka Nyumba kwa Ujumla.
   
 3. e

  elank54 JF-Expert Member

  #3
  Jun 16, 2012
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 485
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mkuu fungua iyo link apo juu kuna kila k2 !!
   
 4. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #4
  Jun 16, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Mjengo unasimama katika milioni 650....najiuliza kama TRA wanajua kama hapa napo ni wigo wa kodi & sio kila siku sigara na pombe......
   
 5. A

  Akiri JF-Expert Member

  #5
  Jun 16, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  nyumba yenyewe iko wp?
   
 6. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #6
  Jun 16, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,084
  Likes Received: 7,312
  Trophy Points: 280
  Anaeuza (Kitomai) anadalalia tu,
  Wewe nawe unataka udalalie kwa dalali,

  Ndio maana hizi bei za akina Maige hazitakaa ziishe sababu ya madalali.

  Watu tunafikia kupanga chumba kimoja mpaka kwa 150,000/- sababu ya uroho wa madalali.
  Nyinyi ndio mnasababishia matatizo mpaka matajiri/wauzaji.

  Mtu anaweza kuamua kuuza kitu kwa bei rahisi sababu ana shida but mnapandisha cha juu na kusababisha mali isiuzike haraka, matokeo yake mnamsababishia matatizo mwenye mali kusubiri mteja muda mrefu sababu ya bei kubwa!!

  Mnauzi sana ndugu zangu,
   
Loading...