Nyumba mpya inauzwa Mbweni

mfetere

JF-Expert Member
Feb 27, 2014
230
225
habari kuna nyumba mpya inauzwa mbweni ubungo inahati nyumba ina vyumba vitatu,sebule, jiko,store, dinning na sehemu ya kusomea bei ni mil 130 kwa mawasiliano 0714787795.usiku mwema nyote wana jf
 

Attachments

GHIBUU

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
4,290
2,000
Nyumba nzuri sana nimeipenda na inaeneo kubwa, Dah ila hio kwa escrow bei ataiweza
 

mfetere

JF-Expert Member
Feb 27, 2014
230
225
habari wadau mzee amepunguza bei mpaka kufikia mil 90 cash mnakaribishwa sana.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom